Kikundi cha Kigoma Ladies Gala kimetoa zawadi kwa kinamama wanaopatiwa huduma katika wodi ya wazazi Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Maweni -Kigoma. Zawadi hizo zenye gharama ya Tsh 170,000/=... Read More
News
Wizara Afya imeendesha mafunzo kwa timu ya uendeshaji wa Afya katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Maweni – Kigoma, Mafunzo yanayolenga kujenga uwezo wa kutunza mradi wa Tanzania M... Read More
Katika kuhakikisha wananchi wanapata huduma bora za afya ikiwa nijitihada za Serikali kupitia Wizara ya Afya Leo tarehe 28/10/2024 Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Maweni Kigoma ime... Read More
Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Maweni – Kigoma imepokea msaada wa vitu mbalimbali kutoka kampuni ya mawasiliano ya VODACOM ikiwa ni maadhimisho ya wiki ya huduma kwa wateja, na kupata n... Read More
Leo tarehe 3 /10/3024 Katibu Tawala wa Mkoa wa Kigoma Mh. Hassan A. Rugwa ameitembelea Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Maweni -Kigoma na kupata wasaa wa kuzungumza na watumishi hospitalini hapo. ... Read More
Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Maweni Kigoma yapokea mashine za kisasa za kupimia Kifua kikuu (TB) kutoka kwa wadau wa maendeleo Shirika la THPS.Akipokea mashine hizo leo katika ukumbi wa mik... Read More
Leo tarehe 24 mwezi huu wa tisa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Maweni -Kigoma imeendesha kikao na wazazi wa Watoto wenye ugonjwa wa selimundu (Sickle Cell) kikao ambacho kimetumika kuwaelimisha ... Read More
Katika ziara ya Mganga Mkuu wa serikali Mkoani Kigoma Juni 2024 alizitaka Hospitali zote na vituo vya Afya nchini kuhakikisha kua dawati la huduma kwa wateja linakuwepo katika sehem... Read More
Maabara ni mahali ambapo kuna vifaa na zana za kufanyia majaribio na uchinguzi wa kisayansi. Kwa kawaida, ni sehemu ambapo watafiti na wanafunzi hufanya kazi. Maabara zinaweza... Read More
Dawa ni huduma inayolenga kutoa msaada wa kimatibabu kwa jamii, hii inajumuisha ushauri wa dawa, huduma za Afya ya jamii, na elimu kuhusu matumizi sahihi ya dawa, ni sehemu muhimu ya kusaidi... Read More