Clinical Support Service
Hizi ndizo huduma saidizi zinazopatika katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Maweni
-
Dawa
ugawaji dawa kwa wagonjwa
uagizaji na utunzaji dawa
utengenezaji dawa
Taarifa, ushauri, elimu na Utafiti
-
Maabara, damu salama, Kuhifadhi maiti
-
Mionzi
-
Huduma za matengezo kinga na matengenezo ya vifaa na miundombinu (HCTS)
-
Huduma za Utengamao (rehabilitative services).
-
Afya ya mazingira
Mmoja ya wafanyakazi akiendelea na upimaji katika maabara ya kisasa ya hospitali