surgical service department
Hizi ndizo orodha ya huduma zinazotolewa katika idara ya huduma za upasuaji
- Huduma za upasuaji wa jumla (general surgery)
- Idara ya mifupa na ajali
- Huduma za afya ya kinywa na meno
- Huduma za tiba kwa magonjwa ya wanawake na uzazi
- Huduma za wagonjwa mahututi na dawa za usingizi
- Huduma za afya ya macho
- Huduma za afya ya njia ya mkojo
- Huduma za tiba ya magonjwa ya sikio, pua na koo