Dira Na Dhima

Dira

Hospitali inayotoa huduma bora za afya ngazi ya Mkoa nchini zinazokidhi mahitaji ya wateja wake

Dhima

Kutoa huduma bora za afya za rufaa ngazi ya Mkoa kwa kuzingatia usawa na miiko