Our Services
Huduma za upasauji
Tunatoa huduma za Upasuaji mkubwa na mdogo kwa siku za Jumanne na Alhamisi kwa Yafuatayo
- Uvimbe kwenye koo
- Mifupa
- Matatizo ya uzazi/kujifungua
- Henia
-
Tunatoa huduma za magonjwa ya
- Akili
- Kisukari
- Pumu
- Shinikizo la juu/chini la damu
- Huduma za kulaza
Tunatoa Huduma Zifuatazo
- Full Blood Picture
- HB
- Sickling TEST
- B/S FOR Malaria Parasites
- BLOOD CULTURE
- BLOOD GROUPING
- BLOOD GROUPING AND CROSS MATCHING
- BLOOD UREA
- BLOOD GLUCOSE
- CHOLESTEROL
- BILIRUBIN
- ALT
- AST
- CREATINE
- PROTEIN...
Tunatoa huduma zifuatazo
- Usajiri Na Kumuona Daktari Kwa Wagonjwa Wasiokuwa Na Rufaa (Registration And Consultation Fee)
- Usajiri Na Kumuona Daktari Kwa Wagonjwa Wenye Rufaa (Registration And Consultation Fee)
- Usajiri Na Kumuona Daktari Kwa Wagonj...
Tunatoa Huduma Zifuatazo
- Kung`Oa Jino La Kawaida (Normal Extraction)
- Kung`Oa Jino Lilioota Vibaya (Disimpaction)
- Kuziba Jino (Tooth Filling)
- Kutoa Kiini Cha Jino Na Kuziba (Root Canal Treatment)
- Jino Moja La Bandia (Single Tooth)
- Kila Jin...
Tunatoa huduma zifuatazo
- Ultra Sound
- Plain X Ray
- H.S.G(Hydrosapingography)
- I.V.U(Intravenous Urography)
- Urethrogram
- Fistulogram
- Barium Meal
- Barium Swallow
- Barium Enema
- Mfuko wa Taifa wa bima ya afya (NHIF)
- NSSF
- iCHF
- ASSEMBLE/AAR
- JUBILEE
- STRATEGIS
- MTI
- IOM
- GA INSURANCE
- UNHCR-SMART
Huduma hii inapatika katika jengo letu la wagonjwa wa nje (OPD)
readmoreHuduma hii inapatikana katika jengo letu la wagonjwa wa nje (OPD)
readmore