UPASUAJI

Posted on: June 7th, 2023

Huduma za upasauji

Tunatoa huduma za Upasuaji mkubwa na mdogo kwa siku za Jumanne na Alhamisi kwa Yafuatayo

  1. Uvimbe kwenye koo
  2. Mifupa
  3. Matatizo ya uzazi/kujifungua
  4. Henia