FAQ

Hospitali ya rufaa ya mkoa maweni inapatikana mkoa gani?

Hospitali ya rufaa ya mkoa, maweni ni hospitali ya mkoa wa kigoma kwa urahisi wa kufika hospitali, ukitokea stend kuu ya mabasi panda daladala au bajaji zinazoelekea ujiji halafu shuka kituo kiitwacho Maweni. 

Kliniki ya uzazi inafanyika lini?

Kila kliniki ina ratiba yake, ambayo inaainisha muda wa kuanza na kumaliza na mahali inapofanyika, kwa maelezo zaidi tembelea Menu ya kliniki kwa kufahamu ratiba za kliniki zote. Ahsante