Idara ya huduma za tiba
Magonjwa na huduma zifuatazo hutolewa katika idara ya huduma za tiba
Huduma za tiba kwa wagonjwa wa nje wasio wa dharura (OPD)
Huduma za tiba kwa magonjwa ya ndani (internal medicines)
Huduma za tiba na afya watoto (pediatrics and child health services)
Wodi za watoto
Wodi za watoto wachanga na njiti
Lishe ya watoto
Huduma za Afya ya Akili