core values
Kanuni za Msingi Katika Kutoa Huduma na Uwajibikaji
Ili kufikia malengo haya Hospitali itaongozwa na kanuni za msingi zifuatazo;
- Uadilifu na usawa katika kutoa huduma kwa wateja
- Uwajibikaji
- Ukarimu na kujali wateja
- Maadili ya kazi
- Heshima kwa watumishi wote na wateja
- Haki ya mteja kupata huduma
- Kuchukia na kupiga vita rushwa
- Utoaji wa huduma bora
- Usawa katika upatikanaji wa huduma
- Usiri na faragha kwa wateja