WAGONJWA WA NJE NA DHARURA
Posted on: October 6th, 2024Tunatoa huduma zifuatazo
- Usajiri Na Kumuona Daktari Kwa Wagonjwa Wasiokuwa Na Rufaa (Registration And Consultation Fee)
- Usajiri Na Kumuona Daktari Kwa Wagonjwa Wenye Rufaa (Registration And Consultation Fee)
- Usajiri Na Kumuona Daktari Kwa Wagonjwa Wa Marudio
- Usajiri Na Kumuona Daktari Kwa Wagonjwa Wasio Raia Wa Tanzania
- Kusafisha Kidonda(Dressing)
- Kufunga Pop
- Upasuaji Mdogo (Minor Operation)
- Kutoa Pop
- Kutoa Nyuzi
- Medical Examination
- Kupiga Bomba Kwenye Sikio(Ear Syringe)