KINYWA NA MENO
Posted on: December 30th, 2024Tunatoa Huduma Zifuatazo
- Kung`Oa Jino La Kawaida (Normal Extraction)
- Kung`Oa Jino Lilioota Vibaya (Disimpaction)
- Kuziba Jino (Tooth Filling)
- Kutoa Kiini Cha Jino Na Kuziba (Root Canal Treatment)
- Jino Moja La Bandia (Single Tooth)
- Kila Jino La Bandia Linaloongezeka (Each Addition Tooth)
- Kuunga Meno Ya Bandia Yaliyovunjika(Denture Repair)
- Kuunga Mfupa Wa Meno Uliovunjika(Splinting)
- Kuunga Taya Lililovunjika(Intermaxillary Fixation)
- Kushona Jeraha
- Upasuaji Mdogo
- Kupasua Jipu (Incision And Drainage)
- Kusafisha Meno (Scaling)