Matumizi ya mfumo wa ukusanyaji mapato GEPG yaongeza kasi ya ukusanyaji mapato.

Posted on: February 10th, 2020

Hayo yamesemwa na mganga mfawidhi wa Hospitali ya rufaa ya mkoa Maweni  Dkt. Osimund Dyegura alipokuwa akisoma ripoti kwa katibu mkuu wa wizara ya afya alipotembelea hospitalini hapa.

Ukilinganisha na kipindi cha nyuma mapato yameongezeka kwa kiasi kikubwa kwani mfumo huu umesaidia kupunguza mianya ya rushwa.