MAABARA YA MAWENI KIGOMA YAPATA NYOTA NNE (4).
Posted on: September 24th, 2022MAABARA YA MAWENI KIGOMA YAPATA NYOTA NNE (4).
Hospitali ya Mkoa Maweni tulikuwa na wageni kutoka African Society for Laboratory Medicine (ASLM) ambao waliokuwa wanaofanya assessment ya maabara.
Maabara yetu tumepata 234 out of 269, Ambayo sawasawa na nyota nne (4 stars).
Karibuni Kigoma..
Karibu maweni Hospitali kwa huduma bora za Maabara.
Hongera team ya uongozi wa maweni Hospitali na Watumishi wote kwa ujumla.
#Maweni RRH na Bado