KIKUNDI CHA KIGOMA LADIES GALA CHATOA ZAWADI KWA KINA MAMA

Posted on: November 4th, 2024

Kikundi cha Kigoma Ladies Gala kimetoa zawadi kwa kinamama wanaopatiwa huduma katika wodi ya wazazi Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Maweni -Kigoma.

Zawadi hizo zenye gharama ya Tsh 170,000/= zimetolewa hii leo na wawakilishi wa kikundi hicho wakiongonzwa na Mwenyekiti .