HUDUMA ZA DHARURA ZAANZA KUTOLEWA RASMI KWENYE JENGO JIPYA (EMD) HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA MAWENI
Posted on: November 7th, 2022Uongozi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Maweni Kigoma unawatangazia wananchi wote kuwa huduma za Wagonjwa wa Nje na Dharura kwa sasa zinapatikana jengo jipya la wagonjwa wa Dharura na Mahututi (EMD & ICU)
HUDUMA ZA KIBINGWA NA BIMA ZITAENDELEA KUTOLEWA KWENYE MAJENGO YA AWALI