Nafikaje Maweni RRH
Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Maweni inapatikana Mkoani Kigoma Wilaya ya Kigoma, Kutokea stendi kuu ya mabasi Mkoa wa kigoma panda daladala, Bajaji za ujiji kisha shuka kituo cha Dalala cha Maweni mkono wako wa kulia karibu na taa za barabarani hapo utaona kibao pamoja na geti la kuingilia hospitali. Hapo utakua umefika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Maweni - Kigoma



