Namuonaje Daktari bingwa

Ili kuonana na Daktari Bingwa baada ya kufika Hospitali fika katika jengo la wagonjwa wa nje (OPD)  kisha nenda mapokezi, au Angalia ratiba ya kliniki husika katika TOVUTI yetu.