SIKU YA HOMA YA INI DUNIANI 28 JULY KILA MWAKA

Saturday 2nd, May 2026
@MAWENI KIGOMA

Ifikapo tarehe 28 julai kila mwaka Dunia huadhimisha siku ya homa ya ini, kwa kukumbusha jamii juu ya kujikinga na ugonjwa wa homa ya ini.